NYOTA MPYA WA YANGA SC, MRUNDI FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOANZA KUJIFUA NA WENZAKE LEO DAR
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Fiston Abdul Razak akiwa mazoezini na timu yake mpya, Yanga SC siku moja baada ya kujiunga nayo rasmi jana kufuatia kusaini mkataba wa miezi sita.
0 comments:
Post a Comment