• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 07, 2021

  JUVENTUS YAICHAPA AC MILAN 3-1 PALE PALE GIUSEPPE MEAZZA


  TIMU ya Juventus imeichapa AC Milan 3-1 katika mchezo wa Serie A Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan. Mabao ya Juventus yamefungwa na Federico Chiesa mawili dakika za 18 na 62 na Weston McKennie dakika ya 76, wakati bao pekee la AC Milan lilifungwa na David Calabria dakika ya 41. Pamoja na kichapo hicho, Milan inabaki kileleni kwa pointi zake 37 baada ya mechi 16, wakati Juventus sasa ni ya nne ikifikisha pointi 30 baada ya kucheza mechi 15
   
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JUVENTUS YAICHAPA AC MILAN 3-1 PALE PALE GIUSEPPE MEAZZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top