• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 25, 2021

  MSHAMBULIAJI MGHANA WA YANGA SC, MICHAEL SARPONG ASAIDIA YATIMA KWAO  MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Michael Sarpong wiki iliyopita alipata fursa ya kutoa msaada katika kituo cha Royal Seed Orphanage, kesho nchini Ghana, alipokwenda kwa mapumziko mafupi baada ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kusimama.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MGHANA WA YANGA SC, MICHAEL SARPONG ASAIDIA YATIMA KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top