• HABARI MPYA

  Friday, January 29, 2021

  MBWANA SAMATTA NA MCHEZAJI MWENZAKE MPYA, OZIL WAKIJIANDAA NA MECHI YA LIGI KESHO UTURUKI

  MSHAMBULIji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzake mpya Fenerbahce, kiungo Mjerumani, Mesut Ozil (katikati) kwenye mazoezi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki kesho dhidi ya Rizespor kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Ulker Fenerbahçe Sukru Saracoglu Sports Complex Jijini İstanbul 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA NA MCHEZAJI MWENZAKE MPYA, OZIL WAKIJIANDAA NA MECHI YA LIGI KESHO UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top