• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 10, 2021

  MANCHESTER UNITED WAIPIGA WATFORD 1-0 KOMBE LA FA


  TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Watford, bao pekee la Scott McTominay dakika ya tano kwa kichwa akimalizia kona ya Alex Telles Uwanja wa Old Trafford
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED WAIPIGA WATFORD 1-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top