• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 08, 2021

  NAMUNGO FC KUMENYANA NA PRIMEIRO DE AGOSTO YA ANGOLA KUWANIA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO

  TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi itamenyana na Primeiro de Agosto ya Angola katika mechi mbili za nyumbani na ugenini kuwania kuingia hatuaya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. 
  Wawakilishi hao wa Tanzania wataanzia ugenini Februari 14 kabla ya kurejea nyumbani kwa mchezo wa marudiano Februari 21. Kila la heri Namungo FC.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC KUMENYANA NA PRIMEIRO DE AGOSTO YA ANGOLA KUWANIA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top