• HABARI MPYA

  Monday, January 18, 2021

  MANCHESTER UNITED WAIKOMALIA LIVERPOOL ANFIEDL, WATOKA SARE 0-0


  Beki wa Manchester United, Aaron Wan Bissaka akipambana na winga wa Liverpool, Sadio Mane katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. Kwa matokeo hayo, United wanafikisha pointi 37 baada ya kucheza mechi 18 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi moja zaidi ya Manchester City ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Liverpool yenyewe inafikisha pointi 34 na inaporomoka hadi nafasi ya nne ikizidiwa pointi moja na Leicester City baada ya wote kucheza mechi 18
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED WAIKOMALIA LIVERPOOL ANFIEDL, WATOKA SARE 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top