• HABARI MPYA

  Wednesday, January 27, 2021

  MAN CITY YAPANDA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUPIGA WEST BROM 5-0


  TIMU ya Manchester City imepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion mabao ya Ilkay Gundogan mawili, Joao Cancelo, Riyad Mahrez na Raheem Sterling Uwanja wa The Hawthorns.
  Sasa Man City inaongoza Ligi Kuu kwa pointi moja zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester United (41-40) baada ya wote kuheza mechi 19
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAPANDA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUPIGA WEST BROM 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top