MSAFARA YANGA SC WAMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU JANA NA KUMZAWADIA JEZI
MSAFARA wa klabu ya Yanga jana ulifanya ziara ya kumtembelea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman ofisini kwake Ikulu ya Vuga mjini Unguja
Uongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Yanga umempa zawadi ya Jezi rasmi akiwa kama mwanachama halisi wa timu hiyo.
0 comments:
Post a Comment