• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 18, 2021

  MAN CITY YAIFUMUA CRYSTAL PALACE 4-0 NA KUISOGELEA UNITED


  John Stones amefunga mabao mawili dakika za 26 na 68, Manchester City ikiibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao mengine yakifungwa na Ilkay Gundogan dakika ya 56 na Raheem Sterling dakika ya 88.
  Kwa ushindi huo, Manchester City inafikisha pointi 35 baada ya kucheza mechi 17 na kupanda nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu, wakizidiwa pointi mbili na vinara, Manchester United ambao pia wamecheza mechi moja zaidi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIFUMUA CRYSTAL PALACE 4-0 NA KUISOGELEA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top