• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 10, 2021

  ARSENAL WAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 MBELE KOMBE LA FA


  MABINGWA watetezi, Arsenal wametinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo uliodumu kwa dakika 120, mabao ya Emile Smith Rowe dakika ya 109 na Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 117 Uwanja wa Emirates, London
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 MBELE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top