• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 26, 2021

  AL HILAL YA SUDAN YAWASILI DAR KUWAVAA SIMBA SC KESHO MICHUANO YA SIMBA SUPER CUP


  KIKOSI cha Al Hilal ya Sudan kimewasili nchini tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya wenyeji, Simba SC kwenye michuano maalum ya timu tatu, nyingine TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AL HILAL YA SUDAN YAWASILI DAR KUWAVAA SIMBA SC KESHO MICHUANO YA SIMBA SUPER CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top