• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 09, 2021

  LIVERPOOL YAIFUMUA ASTON VILLA 4-1 KATIKA KOMBE LA FA


  TIMU ya Liverpool imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Aston Villa usiku wa jana Uwanja wa Villa Park.
  Mabao ya Liverpool yalifungwa na Sadio Mane dakika ya nne na ya 63, Georginio Wijnaldum dakika ya 60 na Mohamed Salah dakika ya 65, wakati la Aston Villa limefungwa na Louie Barry dakika ya 41 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAIFUMUA ASTON VILLA 4-1 KATIKA KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top