• HABARI MPYA

  Monday, December 01, 2014

  MESSI APIGWA CHUPA, NEYMAR AMTANDIKA MTU KICHWA BARCA IKISHINDA 1-0 MESTALLA

  BARCELONA imepata ushindi wa 1-0 katika mchezo uliotawaliwa na undava baina ya wachezaji dhidi ya Valencia Uwanja wa Mestalla.
  Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo, Sergio Busquets dakika ya 90, kabla ya Lionel Messi kupigwa na chupa.
  Awali, Neymar alimpiga kichwa kichwani Nicolas Otamendi baada ya beki huyo wa Argentina kuanza kumcheza ‘kindava’ Mbrazil huyo.
  Otamendi alimchezea kibabe Neymar kwenye eneo la hatari, lakini alipokwenda kumuinamia kumuomba msamaha, alilambwa kichwa cha ‘kishikaji’ kabla ya wachezaji wa timu zote mbili kuanza kuzozana.
  Lakini mchezaji huyo wa Barcelona hakuchukuliwa hatua yoyote na refa wa Hispania, David Fernandez.
  Otamendi falls to the floor in theatrical fashion, but Neymar had forcefully moved his head towards the Valencia man's jaw
  Otamendi akienda chini baada ya kupigwa kichwa na Neymar 
  Otamendi won the ball fairly, but looked unhappy at the way Neymar fell to the floor, and quickly moved towards the Barcelona man
  Otamendi alianza kwa kumkwatua Neymar kwenye eneo la hatari

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2855227/Neymar-appears-headbutt-Nicolas-Otamendi-Barcelona-star-challenged-Valencia-s-Argentine-defender-area.html#ixzz3KchTvCwZ 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGWA CHUPA, NEYMAR AMTANDIKA MTU KICHWA BARCA IKISHINDA 1-0 MESTALLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top