KLABU ya Yanga imemtambulisha jezi zake maalum kwa ajili ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kuelekea mchezo wake wa Kundi D dhidi ya wenyeji, CR Belouizdad Ijumaa kuanzia Saa 4:00 usiku Uwanja wa Julai 5 1962 Jijini Algiers.
VÍDEO: UTAMBULISHO WA JEZI ZA YANGA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
0 comments:
Post a Comment