• HABARI MPYA

  Sunday, November 19, 2023

  AZAM FC YAICHAPA JKU 3-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


  TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKU katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Azam FC yamefungwa na mshambuliaji Msenegal, Alassane Diao dakika ya 47, kiungo Mgambia Gibrill Sillah mawili, dakika ya 63 na 74, wakati bao pekee la JKU limefungwa na Abdallah Jumanne Said dakika ya 90 na ushei.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA JKU 3-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top