• HABARI MPYA

  Friday, November 17, 2023

  MECHI YA GOR MAHIA NA AZAM YAPEPERUKA, SASA NI JKU


  MCHEZO wa kirafiki baina ya wenyeji, Gor Mahia na Azam FC uliopangwa kufanyika Jumapili Uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi nchini Kenya umefutwa.
  Taarifa ya Azam FC imesema kwamba kutokana mchezo huo kufutwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao - sasa watacheza na JKU ya Zanzibar Jumapili Uwanja wa Azam Complex kuamzia Saa 1:00 usiku.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA GOR MAHIA NA AZAM YAPEPERUKA, SASA NI JKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top