• HABARI MPYA

  Friday, November 17, 2023

  KIBU, INONGA NA DIARRA WATOZWA FAINI PAMOJA NA SIMBA NA YANGA


  WACHEZAJI wa Simba SC, beki Mkongo Henock Inonga Baka ‘Varane’ na mshambuliaji Kibu Dennis Prosper pamoja na kipa wa Yanga, Djigui Diarra raia wa Mali wametozwa Faini kwa makosa yanayofanana kwenye mchezo baina ya timu zao Novemba 5 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ambao Yanga ilishinda 5-1, pia kocha wake Msaidizi, Msenegal Moussa N’Daw ametozwa faini pamoja na klabu yenyewe na watani wao, Simba SC kwa makosa tofauti.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIBU, INONGA NA DIARRA WATOZWA FAINI PAMOJA NA SIMBA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top