• HABARI MPYA

    Wednesday, November 29, 2023

    TANZANIA PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI FC 1-0 SOKOINE


    BAO pekee la kiungo Jumanne Elfadhili Nimkaza kwa penalti dakika ya 77 limeipa Tanzania Prisons ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
    Baada ya ushindi huo, Tanzania Prisons inafikisha pointi 10 na kujiinua kutoka nafasi ya 15 hadi ya 13, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 15 nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 11.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TANZANIA PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI FC 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top