• HABARI MPYA

  Monday, November 13, 2023

  AZAM FC KICHEZA NA GOR MAHIA NOVEMBA 19 KASARANI


  KIKOSI cha Azam FC kinatarajiwa kufanya ziara nchini Kenya kwa ajili ya mchezo mmoja wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Gor Mahia Novemba 19 Uwanja wa Moi Kasarani Jijini Nairobi, ambao utachezwa Saa 10:00 jioni – ikiwa sehemu ya maandalizi ya mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Novemba 24 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC KICHEZA NA GOR MAHIA NOVEMBA 19 KASARANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top