• HABARI MPYA

  Friday, November 17, 2023

  AUCHO AFUNGIWA MECHI TATU, REFA COASTAL NA YANGA NJE NUSU MWAKA


  KIUNGO wa Kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho amefungiwa mechi tatu na kutozwa Faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumpiga kiwiko kiungo wa Coastal Unión, Ibrahim Ajibu katika mchezo baina ya timu hizo mwezi huu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Aidha, refa wa mchezo huo, Emmanuel Mwandembwa wa Arusha amefungiwa miezi sita kwa kosa kutotafsiri Sheria 17 za kandanda kwa ufasaha.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUCHO AFUNGIWA MECHI TATU, REFA COASTAL NA YANGA NJE NUSU MWAKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top