• HABARI MPYA

    Wednesday, November 29, 2023

    YANGA KUANZA NA HAULING FC, SIMBA NA TEMBO AZAM NA ALLIANCE ASFC


    MABINGWA watetezi, Yanga watamenyana na Hauling FC ya Njombe katika Hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation C up (ASFC).
    Vigogo, Simba SC watamenyana na Tembo FC ya Tabora katika vita ya wanyama tishio nyikani, wakati Azam FC watacheza na Alliance FC ya Mwanza, mechi zote zikichezwa kati ya Desemba 14 hadi 17. 
    RATIBA KAMILI 64 BORA ASFC:
    Singida Fountain Gate v Arusha City
    Dodoma Jiji v Magereza Dar
    Ihefu SC v Rospa FC (Mtwara)
    JKT Tanzania v Kurugenzi (Simiyu)
    Namungo FC v Hollywood (Songwe)
    Coastal Union v Greenland (Kagera)
    Mashujaa FC v Mbuga FC (Mtwara)
    Azam FC v Alliance FC (Mwanza)
    Yanga SC v Hauling FC (Njombe)
    Simba SC v Tembo FC (Tabora)
    Geita Gold v Singida Cluster
    Mtibwa Sugar v Nyakagwe FC (Nyang’wale, Geita)  
    KMC v ACA Eagles
    Kagera Sugar v Dar City
    Tabora United v Monduli Coffee (Arusha)
    Tanzania Prisons v TRA (Kilimanjaro)
    Mbuni (Arusha) v Bus Stand
    Biashara United v THB (Rukwa)
    Ken Gold v Gunners FC (Dodoma)
    Pan African v Nyamongo (Tarime)
    Pamba FC v Eagles (DSM)
    FGA Talents (Moro) v Buhaya (Bukoba)
    Transit Camp v Airport fc (Kigoma)
    Green Warriors v Kilimo FC (Singida)
    Polisi Tanzania v Nyumbu FC (Pwani)
    Mbeya Kwanza v Bunda FC (Mara)
    Mbeya City v African Lyon
    Copco FC v Mbaoa FC (Kahama)
    Ruvu Shooting v Mkwajuni FC (Songwe)
    Cosmopolitan v Rhino Rangers
    Stand United v Tanesco FC (Kilimanjaro)
    TMA (Arusha) v Sharp Lion (Lindi)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA KUANZA NA HAULING FC, SIMBA NA TEMBO AZAM NA ALLIANCE ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top