// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ARSENAL YAFUNGISHWA VIRAGO KOMBE LA LIGI ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEARSENAL YAFUNGISHWA VIRAGO KOMBE LA LIGI ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TIMU ya Arsenal imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya kuchapwa mabao 3-1 na West Ham United katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora usiku wa Jumatano Uwanja wa London. Mabao yaliyoipeleka West Han United Robo Fainali yamefungwa na Ben White aliyejifunga dakika ya 16, Mohammed Kudus dakika ya 50 na Jarrod Bowen dakika ya 60, wakati la kufuatia machozi la Arsenal limefungwa na Martin Odegaard 90.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment