• HABARI MPYA

  Wednesday, November 01, 2023

  SIMBA SC YASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU NA SBL LEO


  KLABU ya Simba leo imeingia mkataba mpya wa udhamini wa miaka mitatu na Kampuni ya Serengeti ​Breweries Limited (SBL) kupitia kinywaji chake cha Pilsner Lager, ambao hata hivyo thamani yake haijatajwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU NA SBL LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top