• HABARI MPYA

  Thursday, November 23, 2023

  FIFA YAIFUNGIA SIMBA SC KUSAJILI KISA PAPE SAKHO


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Simba kufanya usajili hadi itakapoilipa klabu ya Teungueth ya Senegal sehemu ya mauzo ya mchezaji Pape Ousmane Sakho kwenda QRM ya Ufaransa.


  Baada ya taarifa hiyo ya FIFA iliyotolewa na TFF - Simba nayo ikatolea ufafanuzi sakata hilo na kuahidi kuilipa Teungueth haraka iwezekanavyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIFA YAIFUNGIA SIMBA SC KUSAJILI KISA PAPE SAKHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top