• HABARI MPYA

  Saturday, November 04, 2023

  AHMED ARAJIGA NDIYE REFA WENU KESHO SIMBA NA YANGA


  REFA Ahmed Arajiga (32) wa Manyara ndiye atakayechezesha mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho kuanzia Saa 11:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AHMED ARAJIGA NDIYE REFA WENU KESHO SIMBA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top