• HABARI MPYA

  Friday, November 03, 2023

  AZIZ KI MCHEZAJI BORA, ROBERTINHO KOCHA BORA LIGI KUU OKTOBA


  KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Oktoba huku Mbrazil wa Simba SC, Robert Oliveira ‘Robertinho’ akishinda Tuzo ya Kocha Bora.
  Aziz, nyota wa Kimataifa wa Burkina Faso amewashinda kiungo mwenzake wa Yanga, Mkongo Maxi Mpia Nzengeli na mshambuliaji wa Simba, Mzambia Moses Phiri wakati Robertinho amewapiku Muargentina Miguel Gamondi wa Yanga na Mmarekani mwenye asili ya Somalia, Abdihamid Moalin wa KMC.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZIZ KI MCHEZAJI BORA, ROBERTINHO KOCHA BORA LIGI KUU OKTOBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top