• HABARI MPYA

  Tuesday, November 28, 2023

  BENCHIKA AWASILI NA WASAIDIZI WAWILI FARID NA KAMAL KUANZA KAZI SIMBA


  KOCHA mpya wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchika amewasili usiku wa Jumatatu akiwa na wasaidizi wake wawili, Kocha Msaidizi Farid Zemiti na Kocha wa Utimamu wa Mwili (Fitness), Kamal Boudjenane.
  Mara baada ya watatu hao kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam walipokewa na Mtendaji Mkuu wa klabu, Imani Kajula na kukabidhiwa jezi za Simba zenye majina yao.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENCHIKA AWASILI NA WASAIDIZI WAWILI FARID NA KAMAL KUANZA KAZI SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top