• HABARI MPYA

  Saturday, November 04, 2023

  MANCHESTER UNITED YAILAZA FULHAM 1-0 DAKIKA YA MWISHO


  BAO la dakika ya 90 na ushei la nyota Mreno, Bruno Fernandes limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Craven Cottage Jijini London.
  Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 18 na kusogea nafasi ya saba, wakati Fulham inabaki na pointi zake 12 nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 11.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YAILAZA FULHAM 1-0 DAKIKA YA MWISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top