• HABARI MPYA

  Tuesday, November 28, 2023

  TWIGA STARS INAVYOJIFUA KUIVAA TOGO ALHAMISI CHAMAZI KUFUZU WAFCON


  MSHAMBULAJI Opah Clement anayechezea klabu ya Besiktas ya Uturuki akiwa mazoezi ya timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania leo Kituo cha Ufundi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kigamboni, Dar es Salaam.
  Twiga Stars inajijiandaa na mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili na ya mwisho ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) mwakani nchini Morocco dhidi ya Togo Alhamisi Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. 
  Timu hizo zitarudiana Desemba 5 Uwanja wa Kégué Jijini Lomé na mshindi wa jumla atakuwa amejikatia tiketi ya WAFCON ya Morocco mwakani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS INAVYOJIFUA KUIVAA TOGO ALHAMISI CHAMAZI KUFUZU WAFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top