• HABARI MPYA

  Thursday, November 23, 2023

  COASTAL UNION YAILAMBA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE


  BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Benin, Roland Junior Beakou dakika ya 17 leo limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Kwa ushindi huo, Coastal Unión inafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya 10, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake saba nafasi ya 15 kwenye Ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAILAMBA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top