• HABARI MPYA

  Wednesday, November 22, 2023

  GEITA GOLD YAIKANYAGA JKT TANZANIA 1-0 NYANKUMBU


  BAO pekee la Edmund John dakika ya 42 limetosha kuipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa shule ya sekondari ya wasichana ya Nyankumbu mjini Geita.
  Ushindi huo unaifanya Geita Gold ifikishe pointi 10 na kusogea nafasi ya 10, wakati JKT Tanzania inabaki na pointi zake 14 nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YAIKANYAGA JKT TANZANIA 1-0 NYANKUMBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top