WENYEJI, Coastal Unión wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Matokeo hayo yanaifanya Coastal Unión ifikishe pointi saba na kusogea nafasi ya 13, Sawa na Namungo FC inayosogea nafasi ya 12 kwa wastani wa mabao baada ya wote kucheza mechi nane.
0 comments:
Post a Comment