• HABARI MPYA

  Thursday, November 02, 2023

  LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-1 KOMBE LA LIGI ENGLAND


  TIMU ya Liverpool imefanikiwa kwenda Hatua ya Robó Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji. AFC Bournemouth usiku wa Jumatano Uwanja wa  Vitality, Bournemouth, Dorset.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na Cody Gakpo dakika ya 31 na Darwin Nunez dakika ya 70, wakati bao pekee la AFC Bournemouth limefungwa na Justin Kluivert dakika ya 64.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-1 KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top