• HABARI MPYA

  Thursday, November 02, 2023

  FEISAL NA MUDATHIR WATOZWA FAINI KWA KUNYIMANA MIKONO


  VIUNGO, Feisal Salum Abdallah wa Azam FC na Mudathir Yahya Abbas wa Yanga SC wametozwa faini ya Sh. Milioni 2 kila mmoja kwa kosa la kugoma kupeana mikono kwenye mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya baina ya timu zao Oktoba 22, Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FEISAL NA MUDATHIR WATOZWA FAINI KWA KUNYIMANA MIKONO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top