• HABARI MPYA

  Wednesday, November 15, 2023

  BODI YA LIGI YAKUTANA DAR KUJADILI MIPANGO YAKE


  KAMATI ya Uongozi ya Bodi ya Tanzania (TPLB) imekutana leo Novemba 15, 2023 kwa kikao chake cha kikanuni ambapo wajumbe wamejadili masuala mbalimbali ikiwepo Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Bodi kwa mwaka 2023.
  Kikao hicho ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wa Baraza Kuu la Bodi ya Ligi uliopangwa kufanyika Disemba 8, 2023 jijini Dar es Salaam.
  PICHA: KIKAO CHA KAMATI YA TPLB LEO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAKUTANA DAR KUJADILI MIPANGO YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top