• HABARI MPYA

  Wednesday, November 01, 2023

  AZAM FC WALIVYOWASILI KIGOMA KUIVAA MASHUJAA LIGI KUU


  KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama mjini Kigoma Jumanne tayari kwa mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Jumatano Saa 10:00 jioni dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC Uwanja wa Lake Tanganyika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOWASILI KIGOMA KUIVAA MASHUJAA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top