• HABARI MPYA

  Saturday, November 11, 2023

  MANCHESTER UNITED YAICHAPA LUTON TOWN 1-0 OLD TRAFFORD


  BAO pekee la Victor Lindelof dakika ya 59 limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Luton Town katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
  Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 21 na kusogea nafasi ya sita, wakati Luton Town inabaki na pointi zake sita nafasi ya 17 baada ya wote kucheza mechi 12
  .

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YAICHAPA LUTON TOWN 1-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top