• HABARI MPYA

  Monday, November 13, 2023

  SIMBA SC WAANZIA GYM MAANDALIZI DHIDI YA ASEC NOVEMBA 25


  WACHEZAJI wa Simba SC wakiwa mazoezini Gym baada ya mapumziko ya siku kadhaa kufuatia kuambulia pointi moja kwenye mechi mbili zilizopita za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, wakifungwa 5-1 na Yanga Novemba 5 na sare ya 1-1 na Namungo FC Novemba 9 Jijini Dar es Salaam. 
  Simba watarejea uwanjani Novemba 25 kumenyana na ASEC Mimosas ya Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  PICHA: WACHEZAJI WA SIMBA WAKIFANYA MAZOEZI YA GYM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAANZIA GYM MAANDALIZI DHIDI YA ASEC NOVEMBA 25 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top