• HABARI MPYA

  Sunday, November 26, 2023

  GEITA GOLD YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 NYANKUMBU


  BAO pekee la mshambuliaji Valentino Mashaka Kusengama dakika ya 79 limeipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa shule ya sekondari ya Nyankumbu mjini Geita.
  Kwa ushindi huo, Geita Gold inafikisha pointi 13 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake 11 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 11.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 NYANKUMBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top