• HABARI MPYA

  Wednesday, November 08, 2023

  KAPOMBE NA INONGA WAKIJIFUA SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO KESHO


  MABEKI wa Simba, Mkongo Henock Inonga Baka ‘Varane’ na Shomari Kapombe (nyuma) wakiwa mazoezini Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC kesho Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  PICHA: MAZOEZI YA SIMBA KUJIANDAA KUIVAA NAMUNGO
  VÍDEO: AFISA HABARI WA SIMBA AHMED ALLY AKIZUNGUMZA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAPOMBE NA INONGA WAKIJIFUA SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top