• HABARI MPYA

    Tuesday, November 14, 2023

    JKT QUEENS YAWANIA TUZO NNE AFRIKA, TWIGA STARS IMO PIA


    TANZANIA imeingia kwenye vipengele vitano vya kuwania Tuzo za Soka ya Wanawake Afrika kwa mwaka 2022-2023 ambazo zitatolewa Desemba 11 mwaka huu Jijini Marrakech nchini Morocco.
    Katika vipengele hivyo, JKT Queens ambao ni MABINGWA wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati watania Tuzo nne ambazo ni Kipa Bora wa Mwaka kupitia kwa Najiat Abass, Mchezaji Bora Chipukizi kupitia kwa Winifreda Gerald na Kocha Bora wa Mwaka kupitia kwa Esther Chabruma.
    JKT Queens, yenyewe ambayo mwishoni mwa wiki ilimaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika nchini Ivory Coast itawania Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka, huku timu ya taifa ya Tanzania, Twiga Stars ikiwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa ya Mwaka.
    Ikumbukwe katika Tuzo Soka ya Wanaume, mabingwa wa Tanzania, Yanga ikiwania Tuzo ya Klabu Bora Afrika na wachezaji wake wawili wakiingia kwenye vipengele viwili.
    Kipa wa Kimataifa wa Mali Djigui Diarra anawania Tuzo ya Kipa Bora na Mchezaji Bora anayecheza Afrika huku mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele aliyehamia Pyramids ya Misri akiwania Tuzo ya Mchezaji achezaye barani.
    Player of the Year (Women)
    1.     Ajara Nchout Njoya (Cameroon, Internazionale Milano)
    2.     Evelyn Badu (Ghana, Avaldnes)
    3.     Tabitha Chawinga (Malawi, Paris Saint-Germain)
    4.     Temwa Chawinga (Malawi, Wuhan Jiangda)
    5.     Anissa Lahmari (Morocco, Levante Las Planas)
    6.     Fatima Tagnaout (Morocco, AS FAR)
    7.     Ghizlaine Chebbak (Morocco, AS FAR)
    8.     Ibtissam Jraidi (Morocco, AS FAR/Al Ahli)
    9.     Khadija Er-Rmichi (Morocco, AS FAR)
    10.  Zenatha Coleman (Namibia, Fenerbahce)
    11.  Asisat Oshoala (Nigeria, Barcelona)
    12.  Chiamaka Nnadozie (Nigeria, Paris FC)
    13.  Christy Ucheibe (Nigeria, Benfica)
    14.  Osinachi Ohale (Nigeria, Alaves/Pachuca)
    15.  Rasheedat Ajibade (Nigeria, Atletico Madrid)
    16.  Toni Payne (Nigeria, Sevilla)
    17.  Uchenna Kanu (Nigeria, Tigres/Racing Louisville)
    18.  Ndeye Awa Diakhaté (Senegal, Olympique de Marseille)
    19.  Andile Dlamini (South Africa, Mamelodi Sundowns)
    20.  Hilda Magaia (South Africa, Sejong Sportstoto)
    21.  Jermaine Seoposenwe (South Africa, Juarez/Monterrey)
    22.  Linda Motlhalo (South Africa, Glasgow City)
    23.  Refiloe Jane (South Africa, Sassuolo)
    24.  Thembi Kgatlana (South Africa, Racing Louisville)
    25.  Afi Sabine Woedikou (Togo, Strasbourg/Nantes)
    26.  Sabrina Ellouzi (Tunisia, Excelsior)
    27.  Fazila Ikwaput (Uganda, Kampala Queens)
    28.  Barbara Banda (Zambia, Shanghai Shengli)
    29.  Grace Chanda (Zambia, Madrid CFF)
    30.  Rachael Kundananji (Zambia, Madrid CFF)
     
    Goalkeeper of the Year (Women)
    1.     Ange Bawou (Cameroon, Bayelsa Queens/ BIIK-Shymkent)
    2.     Dolores Hernandez Masongo (Equatorial Guinea, Huracanes)
    3.     Imane Abdelahad (Morocco, SC Casablanca)
    4.     Khadija Er-Rmichi (Morocco, AS FAR)
    5.     Chiamaka Nnadozie (Nigeria, Paris FC)
    6.     Andile Dlamini (South Africa, Mamelodi Sundowns)
    7.     Kaylin Swart (South Africa, JVW)
    8.     Najiat Abass Idrisa (Tanzania, JKT Queens)
    9.     Catherine Musonda (Zambia, Tomiris Turan)
    10.  Cynthia Shongwe (Zimbabwe, Harare City)
     
    Interclub Player of the Year (Women)
    1.     Refilwe Tholakele (Botswana, Mamelodi Sundowns)
    2.     N'Guessan Nadege Koffi (Cote d’Ivoire, SC Casablanca)
    3.     Elena Oyana (Equatorial Guinea, Huracanes)
    4.     Comfort Yeboah (Ghana, Ampem Darkoa)
    5.     Tracy Twum (Ghana, Ampem Darkoa)
    6.     Oumou Kone (Mali, AS Mande)
    7.     Aziza Rabbah (Morocco, AS FAR)
    8.     Fatima Tagnaout (Morocco, AS FAR)
    9.     Ghizlaine Chebbak (Morocco, AS FAR)
    10.  Lebohang Ramalepe (South Africa, Mamelodi Sundowns)
     
    Young Player of the Year (not more than 21 years)
    1.     Comfort Yeboah (Ghana, Ampem Darkoa)
    2.     Mary Amponsah (Ghana, Ampem Darkoa)
    3.     Nesryne El Chad (Morocco, Lille)
    4.     Deborah Abiodun (Nigeria, Pittsburg Panthers)
    5.     Esther Opeyemi Ajakaye (Nigeria, Delta Queens)
    6.     Oluwatosin Demehin (Nigeria, Stade Reims)
    7.     Hapsatou Malado Diallo (Senegal, USPA/Eibar)
    8.     Thubelihle Shamase (South Africa, University of Johannesburg FC)
    9.     Winifreda Gerald (Tanzania, JKT Queens)
    10.  Fauzia Najjemba (Uganda, Dynamo Moscow)
     
    Coach of the Year (Women)
    1.     Nana Joe Adarkwa (Ampem Darkoa)
    2.     Lovemore Fazili (Malawi)
    3.     Mehdi El Qaichouri (SC Casablanca)
    4.     Mohamed Amine Alioua (AS FAR)
    5.     Reynald Pedros (Morocco)
    6.     Randy Waldrum (Nigeria)
    7.     Mame Moussa Cisse (Senegal)
    8.     Desiree Ellis (South Africa)
    9.     Jerry Tshabalala (Mamelodi Sundowns)
    10.  Esther Chabruma (JKT Queens)
     
    National Team of the Year (Women)
    1.     Burkina Faso
    2.     Burundi
    3.     Ghana
    4.     Malawi
    5.     Morocco
    6.     Nigeria
    7.     Senegal
    8.     South Africa
    9.     Tanzania
    10.  Zambia
     
    Club of the Year (Women)
    1.     Athletico d'Abidjan (Cote d’Ivoire)
    2.     Huracanes (Equatorial Guinea)
    3.     Ampem Darkoa (Ghana)
    4.     AS Mande (Mali)
    5.     AS FAR (Morocco)
    6.     SC Casablanca (Morocco)
    7.     Mamelodi Sundowns (South Africa)
    8.     JKT Queens (Tanzania)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JKT QUEENS YAWANIA TUZO NNE AFRIKA, TWIGA STARS IMO PIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top