• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2023

  FAINALI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KUFANYIKA KILIMANJARO


  FAINALI za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) zinatarajiwa kufanyika kati ya Aprili 19 na 28 mkoani Kilimanjaro ikishirikisha jumla ya timu nane zilizofuzu kutoka makundi manne.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FAINALI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KUFANYIKA KILIMANJARO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top