REFA Jonesia Rukyaa wa Kagera ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mechi hiyo ya marudiano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kuanza Saa 11:00 jioni na Jonesia atasaidiwa na washika vibendera Mohamed Mkono wa Tanga na Janeth Balama wa Iringa.
0 comments:
Post a Comment