• HABARI MPYA

  Saturday, April 22, 2023

  KAA KIJANJA WIKIENDI HII UVUTE MKWANJA NA MERIDIANBET ODDS KUBWA TU


  Meridianbet wikiendi hii wanakuambia ukikaa kijanja na mkeka wako basi unavuta mkwanja wa kutosha kwani wamekuwekea Odds bomba katika michezo mbalimbali ambayo itapigwa katika ligi mbalimbali barani ulaya kuanzia Epl, La liga, Sere A, Bundesliga, na Ligue1pamoja na michuano ya kombe la FA. Bashiri na meridianbet wikiendi ufarahie ODDS KUBWA kutoka kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri.
  Michezo ya Jumamosi April 21
  Liverpool baada ya kutoa kipigo kikubwa siku ya jumatatu kwa klabu ya Leeds United watashuka dimbani kumenyana na klabu Nottingham Forest ambayo inapambana isishuke daraja kunako ligi kuu ya Uingereza mchezo huu mkali unaweza kubashiri kupitia tovuti ya Meridianbet ukutane na Odds za kibabe .
  Klabu ya Aston Villa chini ya kocha Unai Emery umeonekana kua kwenye kiwango bora siku za karibuni watashuka dimbani wikiendi hii kumenyana na klabu ya Brentford Je Villa wataendeleza ubabe wao mbele ya Brentford weka mkeka wako na Meridianbet wikiendi hii ujishindie mapene.
  Vijana wa kocha Roy Hodgson Crystal Palace ambao wamefanikiwa kushinda michezo mitatu mfululizo kwenye ligi kuu ya Uingereza mpaka sasa watawakaribisha klabu ya Everton ambayo ipo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi hiyo wakipambama kujinasua na hatari ya kushuka daraja mtanange huu mkali umepewa odds bomba kabisa pale Meridianbet bashiri mchezo huu ushinde mkwanja wa kutosha.
  Manchester City wakiwa wametoka kufuzu nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya katikati ya wiki watashuka dimbani wikiendi hii kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya Sheffield United. Mchezo huu umepewa odds za kibabe pale Meridianbet bashiri sasa.
  Huko La Liga wikiendi hii mambo ni moto Real Madridwataikaribisha klabu ya Celta Vigo katika dimba la Santiago Bernabeu Real Madrid watahitaji kupata alama tatu nyumbani huku Celta Vigo wao wakipambama kujiweka kwenye mazingira mazuri kwenye ligi hiyo Bashiri mchezo huu mkali kupitia Meridianbet.
  Kule Serie A wikiendi hii kutakua na mtanange mkali kati ya klabu ya Lazio ambao watakua nyumbani kuwakaribisha Torino,Lazio wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hivo watahitaji alama tatu muhimu ili kuweka mazingira ya kufuzu ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao huku Torino wakihitaji alama ili kusogea nafasi za juu kwenye ligi hiyo mchezo umewekwa Odds kubwa pale Meridianbet bashiri sasa ushinde.
  Pale Ujerumani Fc Bayern Munich wakiwa na machungu ya kutupwa nje kwenye ligi ya mabingwa ulaya watakua ugenini kukipiga na Mainz. Mchezo unatarajiwa kua mkali kwani Mainz nao wanahitaji nafasi ya kufuzu michuano ya ulaya mwakani mchezo umewekewa Odds za kibabe pale Meridianbet.
  .
  Mechi za Jumapili April 23
  Vita ya Top four itahamia kwenye dimba la St.James Park wikiendi hii kwani Newcastle United wataikaribisha klabu ya Tottenham Hotspur ambapo kila timu itahitaji kushinda mchezo huo Ili kujiwekea mazingira mazuri ya kufuzu ligi ya mabingwa msimu ujao.Mchezo huu mkali umepewa odds kubwa pale Meridianbet bashiri ujichukulie mkwanja wako wa Eid.
  Klabu ya Manchester United baada ya kutupwa nje kwenye michuano ya UEFA Europe league watakua pale Wembley kumenyana na klabu ya Brighton iloyopo kwenye fomu Bora kabisa kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA. Mchezo huu unatarajiwa kua mkali sana.Weka mkeka wako na kupitia Meridianbet ujishindie mkwanja wa kutosha.
  La Liga pale moto utakua mkali wikiendi hii kwenye dimba la Camp Nou kwani vinara klabu ya Barcelona watakua nyumbani kuwaribisha Atletico Madrid ambao wapo kwenye fomu bora kabisa kwasasa. Barca watahitaji alama tatu Ili kujiwekea mazingira mazuri ya ubingwa huku Atletico wakihitaji kusogea nafasi ya pili.Bashiri mchezo huu na Meridianbet ukutane na Odds bomba.
  Serie A kutakua na mchezo wa kukata na shoka kwani vinara Napoli baada ya kuondoshwa kwenye ligi ya mabingwa ulaya watakua ugenini kumenyana na Juventus ambao wanashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo.Je Napoli wataendeleza unyonge wa ligi ya mabingwa ulaya? Weka mkeka wako mapema pale Meridianbet
  Bayern Leverkusen iliyo kwenye ubora mkubwa kwasasa chini ya kocha Xabi Alonso itaikaribisha klabu ya RB Leipzig katika mchezo wa ligi kuu ya Ujerumani.Je Leverkusen Wanaweza kuendeleza ubora wao mbele ya Leipzig Meridianbet wamekuwekea Odds bomba za mchezo huu bashiri sasa.
  Pale ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1 Jumapili hii mechi ya kibabe itapigwa Derby de Olympics ambapo Olympique Lyon wataikaribisha Olympique Marseille mchezo utakaopigwa katika dimba la Groupama.Mechi hii Kali imewekewa Odds kubwa pale Meridianbet unaweza kubashiri sasa ujishindie mipunga ya kutosha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAA KIJANJA WIKIENDI HII UVUTE MKWANJA NA MERIDIANBET ODDS KUBWA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top