• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2023

  SIMBA SC WAKABIDHIWA MAMILIONI YA RAIS SAMIA


  MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo amewakabidhi Simba SC kitita cha Milioni 5, zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufunga bao moja katika kipigo cha 3-1 cha Raja Casablanca kwenye mechi ya mwisho ya Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa kuamkia jana Jijini Casablanca nchini Morocco.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekuwa akitoa zawadi y Sh. Milioni 5 kwa kila bao linalofungwa kwenye Hatua ya makundi ya michuano ya Afrika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAKABIDHIWA MAMILIONI YA RAIS SAMIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top