• HABARI MPYA

  Monday, April 24, 2023

  MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA, DENNIS MDOE AFARIKI DUNIA


  MSHAMBULIAJI wa zamani wa Nyota Nyekundu na Yanga SC, zote za Dar es Salaam, Dennis Mdoe amefariki dunia leo Jijini Arusha.
  Kwa mujibu wa mwanawe, Ibrahim- Mdoe aliyewahi pia kuchezea timu ya taifa, Taifa Stars amefariki dunia na ghafla leo na inafikiriwa ni shinikizo la damu.
  Mungu ampumzishe kwa amani marehemu Dennis Mdoe. Amín.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA, DENNIS MDOE AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top