• HABARI MPYA

    Friday, April 14, 2023

    ANGALIA MORRISON ALICHOMFANYA MZIZE KAMBINI YANGA LEO


    WINGA Mghana, Bernard Morrison akimkandamiza mshambuliaji Clement Mzize kwenye unga wakati wachezaji hao wa Yanga wanacheza kambini kwao, Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
    Yanga inajiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Simba Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ANGALIA MORRISON ALICHOMFANYA MZIZE KAMBINI YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top