• HABARI MPYA

  Friday, April 21, 2023

  YANGA TAYARI WAPO KATIKA HIMAYA YA RIVERS


  MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamewasili salama Uwanja wa Ndege wa Victor Attah mjini Uyo, Nigeria kuelekea mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Rivers United Jumapili Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini humo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA TAYARI WAPO KATIKA HIMAYA YA RIVERS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top