• HABARI MPYA

  Wednesday, April 19, 2023

  WYDAD WAPO TAYARI DAR KUIVAA SIMBA JUMAMOSI


  MABINGWA 
  wa Afrika Wydad Club Athletic, maarufu kama Wydad Casablanca wamewasili leo asubuhi Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa kwa za wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Benjamín Mkapa.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WYDAD WAPO TAYARI DAR KUIVAA SIMBA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top